ASANTENI WATANZANIA KWA KUENDELEA KUONESHA IMANI KWA RAIS WETU MPENDWA JPM NI IMANI JUU YA IMANI, NI IMANI KWA MAENDELEO YANAYOONEKANA
Fuatana Nami*Joseph Yona*
Watanzania waendelea Kuonesha Imani Kubwa kwa RAIS WETU MPENDWA #JPM.
Wasema TunduALissu Ni Mropokaji Hana Sera, hasemi atalifanyia nini Taifa amebaki kubwabwaja ya kuwafurahisha waliomtuma.
Taifa letu linasonga MBELE, MAENDELEO yanayofanywa na JPM Yanaonekana hata kwa watoto.
Lissu
itakuwa ubongo wake kuna sehem haupo sawa kwanza ukifuatlia kwa
ukaribu speach zake hasemi atawafanyia nini wananchi endapo ataokota
Urais Kama TLS yaani yeye ni kuropoka tu maneno ambayo hayana Mbele wala
nyuma, yoote yaliyofanywa na serikali ya awam ya tano hayaoni huyo ni
mwehu kabisa.
Hata mapambano dhidi ya Korona hakuyaona Kuwa tumewazidi viongozi Woote Duniani.
Hebu jiulize, JPM angekubali total lockdown wakati wa corona kama ilivyo Kenya leo hii wewe binafsi ungekuwa katika hali gani?
Nchi za Ulaya, America, Afrika na Asia pamoja na WHO wote wamechukua msimamo wa Tanzania katika kukabiliana na corona.
Raisi Maghufuli anastahili heshima na pongezi katika hili, hata kama hutaki kukubali mengine.
Ni
wangapi wangekuwa na presha, kiharusi, kisukari au hata kufa kwa sababu
ya frustration ya hali mbaya ya kiuchumi kama angeamua kutufungia ndani
kama ambavyo wazungu walitaka ?.
Katika nyakati ngumu ndipo tunapomjua kiongozi halisi.
Nitasimama na JPM kwenye uchaguzi huu wa 2020.
JPM ANASTAHILI 5 TENA
Maoni
Chapisha Maoni