PROF.LIPUMBA ACHUKUA FOMU YA URAIS
Mgombea wa Urais ,Prof.Ibrahim Lipumba akikabidhiwa Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi CUF katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma. Mgombea wa Urais ,Prof.Ibrahim Lipumba wakionyesha Begi lenye Fomu y...
Maoni
Chapisha Maoni